• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Natafuta girlfriend/mchumba mtoto wa gate kali/mambo safi

M

MISAPE

Member
Joined
Nov 28, 2012
Messages
68
Points
95
M

MISAPE

Member
Joined Nov 28, 2012
68 95
HABARI WANA JF!
MIMI NI KIJANA WA KIUME UMRI 28,NATAFUTA GIRLFRIEND MTOTO WA GATE KALI MAMBO SAFI UMRI 18-25,ELIMU KUANZIA KIDATO CHA NNE CHENYE UFAULU NA KUENDELEA ,SIBAGUI RANGI,DINI WALA KABILA,AWE SERIOUS,AWE TAYARI KUPIMA VVU NA MWENYE MAPENZI YA KWELI,UTANI SITAKI

SIFA NA MAISHA YANGU KWA UFUPI
MIMI MAJI YA KUNDE,MREFU,MWEMBAMBA,SINA MTOTO,MFANYAKAZI AGENCY FULANI YA SERIKALI,PIA NI MWANAFUNZI CHUO FULANI HAPA DAR ES SALAAM NACHUKUA DEGREE YA ENGINEERING,KIUCHUMI KIASI FULANI NAJIWEZA,NIMEPANGA NAISHI PEKE YANGU SINA NYUMBA LAKIN NINA KIWANJA MBEZI MPIGI MAGOE,NINA GARI MOJA NDOGO YA KUTEMBELEA
NARUDIA NIPO SERIOUS UTANI SITAKI MASHARTI NA VIGEZO KUZINGATIWA,MWENYE SIFA TUWASILIANE KWA PRIVATE SMS OR KWA EMAIL kiss22love@gmail.com kila sms au email itajibiwa
nawasilisha.
 
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined
Feb 26, 2012
Messages
3,089
Points
1,225
Father of All

Father of All

JF-Expert Member
Joined Feb 26, 2012
3,089 1,225
Je nawe ni mtoto wa gate kali au ni yale yale ya better than thou. Kama ni mtoto wa geti kali huwezi kumpata maana haruhusiwi toka getini. Ni ushauri tu.
 
Karimu lutego

Karimu lutego

New Member
Joined
Mar 23, 2011
Messages
4
Points
20
Karimu lutego

Karimu lutego

New Member
Joined Mar 23, 2011
4 20
Je nawe ni mtoto wa gate kali au ni yale yale ya better than thou. Kama ni mtoto wa geti kali huwezi kumpata maana haruhusiwi toka getini. Ni ushauri tu.
yupo dada yangu , ana miaka 20, je , una ngombe 20 kama mahali ili tukukabidhi?
 

Forum statistics

Threads 1,402,747
Members 530,977
Posts 34,403,903
Top