Natafuta generator used

Natafuta generator used

Mfuatiliaji

Senior Member
Joined
Jun 5, 2008
Posts
153
Reaction score
33
Habari wana jamii forums ninatafuta generator used below 10KVA kwa matumizi ya nyumbani , lisiwe na matumizi makubwa ya mafuta na liwe rahisi kufanya service haya ya china nimenunua mara 2 yanasumbua sana

Pia unaweza kunielelekeza wapi majenerator used yanapatikana kwa Dar es salaam na morogoro
shukran kwa wote
 
jamani inamana tanzania hakuna sehemu wanauza magenerator used mbona majubu hamnipi??
 
Naomba kuuliza minimum specs za generator ya kutumia nyumbani kwa vifaa vyote k.m. taa, fridge, tv, etc etc ni zipi?
 
aisee hata mimi natafuta hiyo kitu manake huu mgao wa 36 hours naweza kufa kwa depression
 
MIMI NAUZA LA 34KVA LISTER PETER.KAMA UKO SERIOUS NI PM, LAKINI NIPO 'KASKAZINI'



{viVAaaaaa shademaaaaa}
 
Used unaweza ukajikuta unatumbukia katika mgao mwingine uliouzalisha wewe mwenyewe nunua tu jipya
 
nashukuru ila haya mapya nayo ni mgao mwingine nakumbuka mwaka juzi walichoma conterna zima eti ni feki generator from china
 
Mdau, mimi nina-import magenereta used toka japan in good condition yote ni super silent I have brands such as Honda, Komatsu, Denyo, Airman etc showroom yetu ipo Mwenge DSM opposite na kanisa la Kakobe. For further info call 0719077707
 
Kama upo serious ni PM for olympian Genset, service sio tatizo kama utakuwa hapa Dar kila baada ya masaa 250 au miezi mitatu nitaarifu nije kupiga servuce, parts zipo pia
 
Back
Top Bottom