Natafuta Generator la kununua .

Sh laki moja ya kenya au ya Tanzania? value for money haiendani na unachohitaji mkuu,jipange unune kitu genuine

kuna kitu kingine nashindwa kukielewa, hivi watu mnafikiri jenereta linauzwa mamilioni mangapi??? jenereta kubwa la kuweza kuwasha nyumba nzima bei ya dukani ni sh laki 6 tu. jenereta la kawaida lenye uwezo kama ninaotaka bei dukani ina-range 250 hadi 350. vi-jenereta vidogo saizi ya mwisho bei ni 150 tu hadi 120. sasa why isiwezekana kulipata jenereta hilo la saiz ya kati kwa sh laki moja? au kama pesa haitosh tukaongea tukakutana mahali! watu msipende kuongea kama hamjui bei ya vitu!
 

Sawa sawa Mkuu. Ukipata zuri linalofanya kazi usiache kutujulisha.
 

Mkuu usio na kihelehele una bahati sana ukipata jenereta la laki 1 na mie nitafutie iphone 5 kwa elfu 50,senki yuu veri mache.
 

Kumbe unayazungumzia hayo ya Hu Ji xi ping? Ha ha ha ha ha ha ha.
 
asante mkuu, nimekuelewa. Sorry kama umekwazika kwa comment yangu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…