Natafuta Generator la kununua .

stineriga

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
2,172
Reaction score
892
lisiwe la uwizi

liwe na uwezo wa kuwasha tv mbili kubwa za nch 28 , projector mbili, ving'amuzi vinne.

pesa cash iliyopo mkononi ni sh laki moja tu, pesa inaweza kuwa adjusted.

tukitest wote na kuona inaweza kuwasha vifaa hivyo tajwa pesa yako nakupatia cash papo hapo.

likiwa ni Honda itwakuwa safi zaidi.

send me pm or call 0714345958

napatikana Ubungo, Dar Es Salaam.
 
kanunue yale ya symbioni yanauzwa!!nadhn yako mita chache kutoka hapo ulipo
 

Simu nokia Asha ya line mbili ya elfu hamsini umeshapata!??
 
Generator laki moja..!!!!??? Labda very used
 
Simu nokia Asha ya line mbili ya elfu hamsini umeshapata!??

mkuu ushazeeka sasa onyesha ukomavu wako sio kuwa kama vitukuu vyako, post ya simu ipo kule!!
 
Jifunzeni kusoma na kuelewa na sio kukurupuka.
si dalili nzuri mtoto wa kiume kuwa na kiherehere na kimbelembele.
Genset ya laki 1..??? Hata kama unasema nina kiherehere, la laki sahau.. Wenzio tunayajuwa hayo madude.... We kama unaposti kitu humu JF halafu unataka komenti ziseme unayoyataka wewe... Jitoe humu
 
Genset ya laki 1..??? Hata kama unasema nina kiherehere, la laki sahau.. Wenzio tunayajuwa hayo madude.... We kama unaposti kitu humu JF halafu unataka komenti ziseme unayoyataka wewe... Jitoe humu
mkuu kiherehere huelewi maana ya pesa inaweza kuwa adjusted??? ulitaka niseme pesa cash mkononi ni milioni moja???? unaweza ukasema una cash mkononi elfu10 lakini ukaletewa kitu kizuri ukapagawa ukatoa hata milinon 10 !!
 
Mkuu, huyo jamaa hana haja na genset huyo... Na inaonekana kila kitu anapanga bei yeye na hataki mjadala...
hivi vitu ni vya kawaida sana mbele/urraya/marekani, kuna watu wana vitu hawavihitaji tena sababu wamesha-upgrade au wanahama nchi au mkoa kusafiri navyo usumbufu, sijui ni kipi ambacho huelewi??

humu jf nimeshawahi pata tv 14' kwa elfu30 tu, nilipata king'amuzi cha star times kwa elfu30, sio kama nawakebehi walioniuzia ni kwamba walikuwa hawavihitaji tena, na hadi leo vinafanya kazi vizuri tu.

na sio kama ni najipangia bei, nafikir ni kawaida ukitaka kitu muhimu kusema pesa iliyopo mkononi, ulitaka nisiseme bei ya kuanzia?? kama huna piga kimya, watakuja wenye navyo kama pesa haitoshi tutaongea na tutakutana mahali tu.
 
Sh laki moja ya kenya au ya Tanzania? value for money haiendani na unachohitaji mkuu,jipange unune kitu genuine
 
Mkuu punguza hasira, ni kweli ulaya hivyo vitu vipo tena ni free of charge hadi magari unapata. Lakini kweut TZ mtu atakuuzia ikiwa kashindwa kuitumia(beyond repair) kwa hiyo bei.
Hivi hakuna website ya matangazo ya biashara Tanzania kama ilivyo gumtree? usingesumbuka kbs kama ungekuwa huku ungeingia hapa www.gumtree.com.au ila basi huenda utafanikiwa, kila la kheri
 
Nitumie hiyo pesa kwa M-pesa kwanza... Unataka lenye Bluetooth au lenye Whatsapp!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…