mkuu kaniki, kuna mshikaji wangu anauza nissan terano,cc 2700 ya 99 imetoka uk, kaiweka bond sababu pesa ya ushuru kakwama, yani kama utapenda unaweza kwenda hiona hata kusajiriwa bado, yani kwa bei hiyo anakupa bila ya pingamizi na utakuwa umemsaidia hela ya kulipia ushuru gari ingine, deal ni kwenda kuiona ukiipenda mnakwenda lipa ushuru na anakukabidhi gari yako, sina picha ningekuwa nazo ningeweka lakini gari ni bomba hautapoteza muda kwenda hiona.
tafadhali wakuu kama kuna yeyote anayeweza kusaidia wangu kupata wateja tutashukuru, zipo gari mbili moja ni truck scania 144 ni v8 engine ya 98 pamoja na hiyo nissan terano 2.7TD zimetoka uk hata namba bado ziko bond sababu hela ya ushuru hakuna. kwenye wengi hakuharibika jambo.
mkuu kaniki, kuna mshikaji wangu anauza nissan terano,cc 2700 ya 99 imetoka uk, kaiweka bond sababu pesa ya ushuru kakwama, yani kama utapenda unaweza kwenda hiona hata kusajiriwa bado, yani kwa bei hiyo anakupa bila ya pingamizi na utakuwa .
katika hiyo hiyo 15m itatoka pesa ya ushuru, siyo kwamba atalipia ushuru extra, yani kila kitu kipo tayari ndiyo maana nikasema ni kwenda kulipa na kukabidhiwa gari, hamna sijui port charges yeyote ni ushuru tu.