Natafuta Gari | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Gari

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Ellie, Nov 5, 2011.

 1. Ellie

  Ellie Senior Member

  #1
  Nov 5, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu ningependa kujuzwa kama naweza pata Gari aina ya starlet kwa bei rahisi,used kwa mtu but in good condition.
   
 2. snochet

  snochet JF-Expert Member

  #2
  Nov 7, 2011
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 1,271
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  be more specific,uko wapi?wats ur budget,n soso so.
   
 3. Ellie

  Ellie Senior Member

  #3
  Nov 7, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nipo Dar so specifications ni kwamba nahitaj starlet ya Tsh 4m, 1.3cc in good condition.Thats all...!
   
 4. Loly

  Loly JF-Expert Member

  #4
  Nov 8, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 485
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  hupati ongeza hela
   
 5. OSOKONI

  OSOKONI JF-Expert Member

  #5
  Nov 8, 2011
  Joined: Oct 20, 2011
  Messages: 10,809
  Likes Received: 3,893
  Trophy Points: 280
  nipe contact zako hasa mail adress na jina kamili nikuunganishe na jaama yangu yupo japan upati gari safi!!!mi pia nipo hukuhuku yanakotoka!!
   
 6. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #6
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kamanda ellie kuwa makini na hao watu wanaodai wana washikaji wako japan, mie nimelizwa dola 2970 tangu mwezi wa tano mwaka huu, na jamaa wa Impreza Used Cars 41export.com. Angalia kuna wabongo wako huko japan maisha yemewashinda sasa wanaamua kuwaibia wabongo wenzao wa huku TZ. watch out man
   
 7. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #7
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  Please give us the story. ukiulizia unapewa majibu gani?
   
 8. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #8
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  mara ya kwanza waliniambia wamehsa lipakia melini kwamba mwezi wa sita ningelipata.......aka mute hadi mwezi wa 8 akadai shipping company hawakumwambia kuwa gari haikusafirishwa........, baadae akadai tar 25 mwezi wa 8 wameconfirm lingesafirishwa rasmi.........aka mute tena nilipoulizia....... huyo mjapani akaniunganisha kwa mbongo anayefanya kazi hapo........na hapo sasa mbongo kwa mbongo....ndo pamekuwa panono..........jamaa akaniambia lazima ntaipata atajitahidi lakini sasa hivi huyo mbongo naye anadai hajui ifanyaje kwani kila akimuuliza huyo mjapan jamaa anamwambia watalisafirisha.........kama una ndugu mwambie hiyo company haifai.....sasa hivi akiona mail inaulizia gari from TZ anamuunganisha huyo mtz na Mtz wa pale.
   
 9. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #9
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  kampuni reliable ni beforward, ukiagza gari unalala usingizi kwa amani, kitu lazima kitinge bongo bila kwere
   
 10. vivian

  vivian JF-Expert Member

  #10
  Nov 8, 2011
  Joined: Nov 2, 2009
  Messages: 1,704
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  pole sana kaka. hata tradecarview hizi kampuni ni reliable

  1. Yanagisawa.
  2. Real Motor Japan
  3. Helios trading
  4. ecohironaka
  5. i.s trading- ila hawa wanachelewesha sana katika ku ship gari na mawasiliano yao sio mazuri ila ni waaminifu
  6.Mukarama
  7.mrc corporation

  Nyingine nimesahau zote hizi nishawahi kufanya nazo Biashara
   
 11. Ellie

  Ellie Senior Member

  #11
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Cheki na mimi thru nyenze1@yahoo.com
   
 12. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #12
  Nov 8, 2011
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,641
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Ongezea Royal trading, Lucus japan direct not Dar or Kenya offices, JCM. wote hao nimedeal now vizuri bila hofu na magari yalifika

   
 13. 1

  19don JF-Expert Member

  #13
  Nov 8, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  ili uwe salama nunua magari yaliyosajiliwa pay trade buyer protection malipo yako yatakuwa salama unalipia kiasi kdg
   
 14. Ellie

  Ellie Senior Member

  #14
  Nov 8, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yes nataka kuagiza kutumia Trade car view, but i need to knw charges za bandarini
   
 15. 1

  19don JF-Expert Member

  #15
  Nov 10, 2011
  Joined: May 13, 2011
  Messages: 572
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  charges za bandari hapa dar au ,
  endapo ni ushuru fungua web ya tra (www.tra.go.tz)
  download calculator for used motor vihicles na CRSP
  tafuta bei ya gari kwenye crsp utapate bei ya gari hilo likiwa jipya ,
  fungua calculator ingiza ex/rate fuata maelekezo wametofautisha gari kutokana na cc utapata gharama za ushuru kabla ya kugiza gari
   
 16. Ellie

  Ellie Senior Member

  #16
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 123
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Thanx 19don.
   
 17. K

  Kiganda Senior Member

  #17
  Nov 11, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mtoa mada hataki mambo ya Japani. Anataka nipe nikupe. Vp kuhusu usalama wa hela yake?
   
 18. c

  cheichei2010 JF-Expert Member

  #18
  Nov 11, 2011
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 932
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  kuna kampuni inaitwa "TRUST"Japanese vehicles.wana magari mazuri sana na hawacheleweshi>mie niliagiza RAV4 ilikuja bomba vibaya.yaani mpya.halafu tarehe waliyoniambia itafika,ilifika siku hiyohiyo.kuna mtu alini mislead kuniambia meli ilikua inashusha mzigo mombasa ndio ije bongo,matokeo yake nikaja jua gari ilikua imeishafika siku nne zilizopita.Na wamepata sana soko tz siku hizi.Ukiwa Dar siku hizi utaona gari nyingi zina wheelcovers zenye nembo zao.
   
 19. s

  saq JF-Expert Member

  #19
  Nov 11, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 270
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  have toyota Duet- fuel consumption 10km to 1 litr approx.
  Price- 5.5m
  PM if interested!
   
 20. K

  Kiganda Senior Member

  #20
  Nov 13, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ninayo March bomba sana 4.5m only. Ni PM if interested.
   
Loading...