natafuta gari ya kununua

mi ninayo jiyo starlet ntakuuzia kwa sh million 1.5 ila ntakutambulisha pia na mafund ufahamiane nao na garage ambayo wameizoea hiyo gari. usidhan ina tatizo la hasha bas tu ndugu yangu nauza sabab nahitaj sana pesa.

yani mkuu nimependa maelezo yako yani upo wazi kiasi kwamba wote wanaouzaga vmeo wangekuwa kama ww wala shida isingekuwepo
 
mimi nataka rava4 ila iwe ya mwaka 2000 naomba mchanganuo wa bei zake maana najua rava4 zipo za aina nyingi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom