Natafuta gari ya kununua Suzuki Swift new model

Natafuta gari ya kununua Suzuki Swift new model

harakati zetu

Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
30
Reaction score
9
Nahitaji muuzaji wa uhakika wa gari ya aina hiyo, namba kuanzia C, D. Iwe haijagongwa wala kupigwa rangi, Injini iwe ktk hali nzuri, Milleage haizingatiwi sana.
 
Ninayo kaka ipo bomba kabisa ni PM kama uko serious nikuletee uione
 
Back
Top Bottom