Prof Kibogoyo
Senior Member
- May 31, 2016
- 112
- 164
Town hii ukilemaa unaachwa ferry.Kumbe kama una viwanja na una kazi,serious unashindwa kununua gari hata ya 5-7m?
Au unataka kutapeli watu kwa kujifanya una pesa nyingi hadi ya kumiliki gari na viwanja!?
Nina hofu huenda viwanja sio vyako unataka kuwashikisha watu au wewe ni dalali.
Huyo ni Bosi kichefichefu hana tofauti na Dude wa Bongo Movie.Kumbe kama una viwanja na una kazi,serious unashindwa kununua gari hata ya 5-7m?
Au unataka kutapeli watu kwa kujifanya una pesa nyingi hadi ya kumiliki gari na viwanja!?
Nina hofu huenda viwanja sio vyako unataka kuwashikisha watu au wewe ni dalali.
Weka namba tuyajengeHabari zenu wakuu, kutokana na nature ya kazi ninayofanya inabidi nipate gari ndogo itakayonisaidia.
Kuna eneo ambalo ninalo, nimelikata viwanja, maeneo ya kigamboni, changamoto inakuja kuwapokea wateja na kuwapeleka site. Ni km 1toka barabara kubwa ambapo hushukia wateja, nataka linakuwa hapo kupokea wateja kwa wale wanaokuja kwa kutumia usafiri wa umma.
Bajeti yangu kwa siku ni elfu 30. Na aina ya gari, iwe Ist, Raum, Carina ti, n.k
Ushauri napokea, kejeli napokea pia. Karibu.
Poa mkuuMinina allion mkuu
Kama upo tayari utanicheck