Natafuta gari ya kufanyia Uber and bolt

Natafuta gari ya kufanyia Uber and bolt

Nehemia Elias

Member
Joined
May 1, 2014
Posts
9
Reaction score
12
Mimi ni dereva mwenye uzoefu, nimeendesha tax mtandao(uber and bolt),natafuta gari ya kazi iwe hesabu au mkataba, nipo tayar mda wowote kwa yeyote mwenye gari ndogo, karibu tufanye kazi
Mawasiliano: 0698789184
 
Watakuja tu
 
Asilimia kubwa mnasumbua sana hesabu mkuu sijui ni kwanini pia kama siyo ya mkataba gari matunzo ni zero kabisa. Hii biashara mimi tena hapana aise nimechukua namba yako nitakunganisha na mtu.
Sio wote, wengi hawajitambui, sisi wengine tuna familia tunaheshimu
 
Asilimia kubwa mnasumbua sana hesabu mkuu sijui ni kwanini pia kama siyo ya mkataba gari matunzo ni zero kabisa. Hii biashara mimi tena hapana aise nimechukua namba yako nitakunganisha na mtu.
Nakazia
 
HESABU N I SHILINGI NGAPI NA MKATABA NI SHILINGI NGAPI? ILI NISHAWISHIKE KUINGIZA GARI YANGU HUKO?
Hesabu ya wiki kwa gari kama umefunga gesi ni 200,000 kama unatumia petrol pekee hesabu ni 140,000 kwa wiki, pia kama ni mkataba gari ya gesi 220,000, kama ni petrol 180,000. Karibu tufanye kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom