Aelewi kitu huyuHujaelewa wapi? Ananunua gari ambazo lazima zina changamoto zikirekebishwa vizuri anauziwa mwingine akapambane huko! Unafkiri kila mtu barabarani kaagiza gari ya mil25 sio?
We ukitaka gari mpaka za laki 7 zipo! Ni ww tu..
zipo za walimu kausha damu wanaziachiaYaani ndinga mpya milioni 25-30+ halafu yeye anataka kwa 5m duuuh
SawaaNazijua ndo mana nimesema
Brevis anapata ilaa sasa.lile jini litamfilisiToyota brebis, altezza na x trail sidhani kwa bei hiyo kama utapata
Ahsante
proshare micro finance utakuta mpaka za milioni 2Ziko wapi nionganishe nao
Kama ni mzoefu anapata kali kabisa.Toyota brebis, altezza na x trail sidhani kwa bei hiyo kama utapata
Ahsanteπ
Ushauri wangu ni huu ukibahatika kununua Brevis hasa yenye injini ya 1jz fse hata kama ukiichukua nzima inatembea nenda dukani ifanyie matengenezo haya kagua fuel pump pressure zipo mbili high na low, weka plug mpya orginal, weka oxegen censor orginal badili oil zote injini oil na gear box oil na mafuta ya break , hakikisha umeifanyia weelbalance kwa machine za kisasaNATAFUTA GARI β BAJETI MIL. 5.
Habari zenu wakuu,
Natafuta gari nzuri isiyo na matatizo yoyote ya kiufundi wala kisheria. Bajeti yangu ni hadi TSh 5,000,000.00.
Ningependa gari aina zifuatazo (kipaumbele):
- Toyota Brevis
- Toyota Altezza
- Nissan X-Trail
Gari iwe katika hali nzuri ya matumizi, iwe imepitia service vizuri, na iwe na nyaraka zote muhimu.
Kama unayo au unamfahamu mtu mwenye gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali niPM.
Sawa mkuu nimekuelewaUshauri wangu ni huu ukibahatika kununua Brevis hasa yenye injini ya 1jz fse hata kama ukiichukua nzima inatembea nenda dukani ifanyie matengenezo haya kagua fuel pump pressure zipo mbili high na low, weka plug mpya orginal, weka oxegen censor orginal badili oil zote injini oil na gear box oil na mafuta ya break , hakikisha umeifanyia weelbalance kwa machine za kisasa
Baada ya yote hayo usiweke mafuta kwenye vituo visivyoeleweka na achana na mafuta ya vibaba weka mafuta full na hakikisha taa haiwaki na kila baada ya tank 3 au 4 nunua dawa ya kusafishia mfumo mzima wa mafuta, ukiifanya hivyo brevis hutakaa uichukie itakuwa na gari imara kwako na kudumu nayo na mambio kama yote
Aiseee ngoja tuone atanipa mrejesho kweny huuu uzi tuBrevis anapata ilaa sasa.lile jini litamfilisi
Khaaaa aiseee sawa seran ntakucheki nahitaji ya 500kππππππHujaelewa wapi? Ananunua gari ambazo lazima zina changamoto zikirekebishwa vizuri anauziwa mwingine akapambane huko! Unafkiri kila mtu barabarani kaagiza gari ya mil25 sio?
We ukitaka gari mpaka za laki 7 zipo! Ni ww tu..π
Mtafute shobaa magari, mzee wa mbiombio ngoogwe.NATAFUTA GARI β BAJETI MIL. 5.
Habari zenu wakuu,
Natafuta gari nzuri isiyo na matatizo yoyote ya kiufundi wala kisheria. Bajeti yangu ni hadi TSh 5,000,000.00.
Ningependa gari aina zifuatazo (kipaumbele):
- Toyota Brevis
- Toyota Altezza
- Nissan X-Trail
Gari iwe katika hali nzuri ya matumizi, iwe imepitia service vizuri, na iwe na nyaraka zote muhimu.
Kama unayo au unamfahamu mtu mwenye gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali niPM.