Natafuta gari ndogo passo

salome peter

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2016
Posts
379
Reaction score
271
Wanajamii wenzangu natafuta gari ndogo ya kununua aina ya Passo au Suzuki Camy yaani gari isiyozidi cc 950.kama kuna mwenye nayo ani pm
 
Passo achana nayo itakupasua kichwa...bora camy au terrios kid
 
Wanajamii wenzangu natafuta gari ndogo ya kununua aina ya Passo au Suzuki Camy yaani gari isiyozidi cc 950.kama kuna mwenye nayo ani pm
cc950 si nzuri ni piston 3 alafu kama uanasafiri umbali ni noma itazungua,tafuta cc1290 ambayo ni piston 4,hiyo suzuki camy kwa kibongo ndio ndoa yako ya kikristo kuanzia spea mpaka matunzo.
 
passo piston 3 mill5cami inauzwa mil 6.5
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…