Drydon Senior Member Joined Mar 11, 2019 Posts 125 Reaction score 193 Sep 9, 2021 #1 Natafuta mmiliki wa gari ambae ataruhusu gari lake lifanye kazi ya ubebaji wa abiria kwa njia ya mtandao uber, bolt nk iwe kwa mkataba au hesabu ya kawaida dereva nipo hapa na account zote zipo active. Mawasiliano: 0789702863.
Natafuta mmiliki wa gari ambae ataruhusu gari lake lifanye kazi ya ubebaji wa abiria kwa njia ya mtandao uber, bolt nk iwe kwa mkataba au hesabu ya kawaida dereva nipo hapa na account zote zipo active. Mawasiliano: 0789702863.
MissM4C JF-Expert Member Joined Aug 31, 2012 Posts 1,741 Reaction score 1,006 Sep 9, 2021 #2 Uko wapi?
Drydon Senior Member Joined Mar 11, 2019 Posts 125 Reaction score 193 Sep 10, 2021 Thread starter #3 MissM4C said: Uko wapi? Click to expand... Dar es salaam '''' kitunda" Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
MissM4C said: Uko wapi? Click to expand... Dar es salaam '''' kitunda" Sent from my V2026 using JamiiForums mobile app
TURTEKING Senior Member Joined Nov 4, 2020 Posts 128 Reaction score 223 Sep 11, 2021 #4 MissM4C said: Uko wapi? Click to expand... Kuna gari mkuu 0656539177 mm nipo tegeta nina accounts zote uber na bolt
MissM4C said: Uko wapi? Click to expand... Kuna gari mkuu 0656539177 mm nipo tegeta nina accounts zote uber na bolt
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,175 Reaction score 196,918 Sep 11, 2021 #5 Kila la kheri...