Mambo Jambo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2008
- 1,100
- 83
mkuu mie naweza kukuletea gari hiyo hapo. toyota raum 1998 or 1997 model. CC1490, around km 60000 - 120,000. kwa bei ya tsha 5,000,000/=
tena uzuri unalipa kwa awamu mbili. unalipa kwanza 3,500,000 kwa ajili ya kununua. kish aunakuja kumalizia 1,500,000/ kwa ajili ya ushuru na registration.
ikizidi hapo kwa sababu ya ushuru ITAKUWA ni JUU YANGU KWA GHARAMA ZANGU.
if you are interested nitumie mail dullymo@gmail.com
au nitwangie 0713 744144
mimi siuzi vitanda ndugu yangu. mimi magari na majumba tu!
Hehehehe kumbe dalali lol!
Jaribu kum PM fisadi Jones, anataka za bei hiyo.....!Toyota chaser Gx 100, 6 cylinder , box body ====3.5 Mil naitoa. Iko full mzuka.
Toyota chaser Gx 100, 6 cylinder , box body ====3.5 Mil naitoa. Iko full mzuka.
Kwani Araway story yako ya kutafuta gari iliishaje? Did you get it? Mbona niliku PM hukujibu na hapa sioni kama communication ilikuwa winded up?
baada ya kuibiwa gari langu na kutokuwa na matumaini ya kulipata tena, nimerudi kijijini kutafuta mchuma utakao weza kuniliwaza kwa kipindi hiki kigumu kwangu. hivyo basi natafuta gari ndogo aina yeyote iliyo kwenye hali nzuri lakini bei isizidi millioni nne(4000,000)
wandugu nimejipiga hadi nimeamua kuja hapa naamini naamini hakuna kinachokosekana wala kushindikana.
tusameheane kwa wale watakao kwazwa na bei ndogo niliyoitaja lakini nimejikuna pale nime fika!
[nauza gari yangu aina ya toyota cresta sx90 saloon closed rangi dak green six s,
ac,radio, vyote vizima inatembea aina tatizo bei m 3.8 tuu. Mawasiliano
piga 0755 462 420 au 0712 600 674 nipo dar es salaam.piga muda wowote napatikana. Au email piuskita@yahoo.com.
Mimi ninayo gari nauza 3m corolla limited imetumika miaka sita hapa bongo
Sikuipataga kiongoziKwani Araway story yako ya kutafuta gari iliishaje? Did you get it? Mbona niliku PM hukujibu na hapa sioni kama communication ilikuwa winded up?
______________