Natafuta gari la kununua tafadhali tufanye biashara

end justify means

Senior Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
129
Reaction score
26
Habari...! natafuta gari aina Opa, Escudo, starlet, au lingine lolote zuri ukinishawishi liwe na milango 5 mwenye gar moja kati ya hayo anitaute kupitia namba 0763389464 popote ndani ya Tanzania...tufanye biashara..
 
Nina Suzuki Kei 5 doors black color, imeingia wiki hii toka Japan bado haijatumika TZ. Engine cc650 inatembea 19km/1Litre

Bei 6.5M kama inakufaa call/sms/whatsapp 0767659145 nikutumie picha zake
 
kma hujapata tufanyebiashara niambie best

Back
Top Bottom