Natafuta gari la kukodi kwa siku 3

Natafuta gari la kukodi kwa siku 3

watambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 7, 2011
Posts
335
Reaction score
267
Natafuta gari ya kukodisha kwa muda wa siku 3 iwe na uwezo wa kuchukua watu zaidi ya saba na iwe katika hali nzuri.iwe ya bei nafuu na haitajiki dereva
 
Ipo ninayo.......ni basi kubwa la abiria 60 vipi litakufaa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom