ndugu wanajanvi natafuta gari nzuri na isiwe chini kwa bajeti ya mil4,isiwe automatic na fuel consumption yake iwe inakunywa vizur,ofa zinakaribishwa ill maneno ya kejeli na zarau hapa sio mahala pake kama unauwezo wa kununua magari makubwa na ya bei basi usituzarau sisi tunaonunua magari ya bei chee,,karibun