Natafuta gari HARAKA

Natafuta gari HARAKA

dala dala

Senior Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
106
Reaction score
105
Gari inahitajika kati ya hizi hapa, Carina, Caldina au Sprinter. Ofa nzuri kwa gari iliyo katika hali nzuri. Tuma text kwenye namba 0716 260 774,
 
wewe sema unachotaka kufanya ....wewe utafuti Gari wala nini hiyo namba yako tunaipeleka TCRA tuone kama imesajili au la?
 
Majibu kutoka TCRA>>>>>>>>>Usivunje sheria. Tembelea kituo cha usajili pamoja na kitambulisho chako.
 
wewe sema unachotaka kufanya
....wewe utafuti Gari wala nini hiyo namba yako tunaipeleka TCRA tuone
kama imesajili au la?

kirojo kwa nn umestuka? tufumbue macho nasisi plz
 
Ndo zao hizo wewe jaribu kumtumia hata pesa kidogo ujue kama ni mtu mzuri uone ,wewe kama unafanya biashara kwanini utumie simu ambayo hajasajiliwa? why?
 
Saijili simu kutuongezea level of confidency
 
Mmh, mko smart! Mwaka huu wezi lazma warudishe majeshi camp
 
Ndo zao hizo wewe jaribu kumtumia hata pesa kidogo ujue kama ni mtu mzuri uone ,wewe kama unafanya biashara kwanini utumie simu ambayo hajasajiliwa? why?

Umenifumbua macho. Asante sana mkuu.
 
mie nipo nje ya nchi kwa sasa ila next week nitakuwa dar, gari ipo nzuri ila kama unayo 12,000,000 tuwasiliane jumanne ijayo, nitakutext nikifika tu. gari ni carina si.
 
wewe sema unachotaka kufanya ....wewe utafuti Gari wala nini hiyo namba yako tunaipeleka TCRA tuone kama imesajili au la?

Ndugu yangu kirojo kwanini unichafulie jina na namba yangu kiasi hiki? Naomba weka namba yako hapa nikutafute au nikuoneshe ofisini kwangu ndio ujue mie sio tapeli kama unavyodhani. Hiyo namba ipo na imesajiliwa na inatumiwa na mimi unless kama umekosea kuiandika. Ningeweza ningeomba ban kwa mkuu hapa ndani maana unanichafua wakati huna hakika kwa unachosema. Uwe makini, umenikera sana sana. Mtu yeyote mwenye kati ya magari niliyosema hapo juu naomba tuwasiliane. Narudia kusema mimi sio tapeli ni mtu makini najiheshimu sana. 0716 260 774. KIROJO natafakari hatua za kuchukua kwa kunichafua ni ujinga kuchafua watu bila ya kufanya utafiti wa kina, tena sio ustaarabu kabisa.
 
umenifumbua macho. Asante sana mkuu.

ndugu yangu maamuma, huyo kirojo ni mwongo tu wala hajakufumbua macho yoyote. Hii namba kama isingekuwa imesajiriwa ingekuwa imefungwa kitambo. Mie nipo hapa dar hata ukitaka kunitafuta kwa muda wako unione itasaidia kuondoa umbea huu wa kirojo. Sipendi kabaisa watu wambea na wenye tabia za uongo,. Haiingii akilini from no where uanze kumchafua mtu usiyemjua. I insist, i'm serious and i mean what i had posted. Just ignore the heresays from kirojo
 
ImageUploadedByJamiiForums1361450830.451558.jpg

Apo vip kama Umeipenda Tuwasiliane
 
nasisitiza kusema hii namba hajasajiliwa ,wewe kama utaendelea kufanya biashara vizuri uwe na namba zilizonauhakika sio unataka kufish ku-interrogate watu hapa.Namba iliyisajiliwa ukituma pesa lazima ikuletee jina lamtu ,kabala ujaconfirm kutuma pesa kwakuingiza namba ya siri..sasa weww uko hapa kwenye jamvi ni watu wengi kweli wanatafuta magari/kuanza magari..mimi sio nakuchafua nataka kujua kwanza na kuwa na uhakika ndiyo tuwasiliane..swali langu ni kwanini namba yako hajasajiliwa..tembelea vituo au maduka ya sijuwi tigo ukasajiliwe kwanza na uje hapa watu wanunue gari lako haraka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom