Natafuta gari gx100

Ellie

Senior Member
Sep 2, 2011
123
15
Ndugu wana JF ,naomba msaada, natafuta toyota cresta/chaser GX 100,4cylinder, iwe kwenye hali nzuri.
 
Ndugu wana JF ,naomba msaada, natafuta toyota cresta/chaser GX 100,4cylinder, iwe kwenye hali nzuri.
Toyota Cresta, Mark II na Chaser 4C ni ngumu kuzipata hususani kama unataka GX100 kwa sababu nyingi ya zilizotoka GX100 ni 6C na hizo ni kutoka 1999 na kuendelea.
Ukitaka labda GX90 unaweza kubahatisha kwa mtu sasa itategemeana na hali iliyonayo maana nyingi ni za mwaka 1996 kurudi chini.
Lingine mkuu hayo magari kama limechonolewa kidogo ni majini kwa mafuta, kuwa makini katika hilo.
 
Nina premio ya 96, imeingia mwaka jana mwez wa tano, iko bomba, white in colour, 7A engine, mileage 108,000km, ni 10mil cash. Haijawah kwenda gerage isipokuwa bp kwa oil and filters changing mara 2 tu.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom