Ukwelinauhakika
Senior Member
- Aug 15, 2012
- 156
- 40
Natafuta gari ambayo haijatumika sana ndogo ndogo, toyota saloon, passo,IST, au yoyote ile ya hivi karibuni. Bajeti Kuanzia isizidi 5 mil ikipungua ni nzuri zaidi... 0714777211 kama unayo tuma wasapu picha tuwasiliane huko..