magari yamekua bei rahisi hivyo 2.7mil VITS
kuna kanunua vitz 2,000,000.
Ila hakauki maduka ya spare.
yanini majanga
utapata wasikukatishe tamaa..vuta subira kidogo....magari yameshuka thamani sana..first world countries wanaya dump huku kwetu..wao wanatumia treni za umeme ....huku sisi tunakoelekea ni kukaa masaa manne kwenye foleni. tena 2.7 nyingi sana..hata 2m unapata
kodi zinapanda wewe unasema magari yanashuka thamani!!..yanashuka thamani kwa wenzetu, siyo sababu ya treni ni sababu ya gharama za kuendesha gari kuukuu, wanaachana nayo na ,kununua mapya kwa financing anakuwa analipa kidogokidogo kila mwezi, ndiyo maana japan vitz tunayoita sisi huku new model kwa wenzeu unauziwa hata laki tisa mpaka milioni mbili, tatizo linakuja kulilipia nauli, na ugonjwa wa moyo unakuja kwenye kodi ndiyo maana unakuta zinauzwa 12m "new model" na 6-8m old model! Vitz ya 2.7m sanasana yeye aangalie iliyogongwa au yenye tatizo kidogo akirekebisha anadundia mtaani mpaka anachoka, ndivyo wajanja wanavyofanya sku hizi mjini ananunua iliyogongwa anairekebisha anauza kwa faida nzuri wananunua hawahawa unaowana wanamcheka mwenzao akanunue bajaji!

mkuu! bajaji sasa hivi zinauzwa 6m. labda pikipiki aina ya boxer ndiyo inauzwa 2.2mKwa bei ya Bajaj Boxer!
Mheshimiwa Mnyaa kwa kufariji wenzako hujambo.Asante kwa kutuipa moyo.
Mie natafuta Dungu lililogongwa