Natafuta gari aina ya beetle (mgongo wa chura)

Ukija kutaka Volkswagen la kizamani unistue
Station wagon

Ova
 
Fanya haraka tukutane huku
Screenshot_2019-04-06-06-21-32.jpeg
 
Bila kupoteza mda. Natafuta gari aina ya beetle au mgongo wa chura zile za kizamani. Mtu mwenye nayo ani pm
Kama uko dar nenda pale ubungo kibo usawa wa kanisa la gwajima kuna jamaa ana gereji pale anavyo kibao wewe tuu ukitaka bovu au nzima ambalo amelifufua wewe tuu au zama vijijini huko unapata nzima kabisa kama mkoa wa kilimanjaro vijinini zipo nyingi sana nini jamaa yangu anakaa mbezi ana lake nzima kabisa saa hivi anatesa nalo mbaya huko road
 
Ahsante mkuu. Ngoja nitaenda ubungo. Ila kuzama vijijini itakuwa ngumu kidogo
Kama uko dar nenda pale ubungo kibo usawa wa kanisa la gwajima kuna jamaa ana gereji pale anavyo kibao wewe tuu ukitaka bovu au nzima ambalo amelifufua wewe tuu au zama vijijini huko unapata nzima kabisa kama mkoa wa kilimanjaro vijinini zipo nyingi sana nini jamaa yangu anakaa mbezi ana lake nzima kabisa saa hivi anatesa nalo mbaya huko road
 
Dar es salaam kuna sehemu inaitwa banana ukonga, kunajamaa anazo hizo kazipaki nje anauza, karibu na njia panda ya tabata
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom