Twin J Young
New Member
- Jul 10, 2023
- 4
- 2
Mahala utapa | EBAY(.com) au AMAZON(.com)Hata brands za OMEN na ASUS pia kama zipo.
Mahala utapa | EBAY(.com) au AMAZON(.com)
- Kisha fanya order
View attachment 2683685
- Ma iwapo utahitaji kusaidiwa Soma uzi huu | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na
Hapa nikiagiza. Gharama za kodi huwa zikoje?Mahala utapa | EBAY(.com) au AMAZON(.com)
- Kisha fanya order
View attachment 2683685
-Na iwapo utahitaji usaidiz katika kununu + kusafirisha + clearance , Basi Soma uzi huu | Nunua bidhaa kutoka Mataifa 15 ikiwemo USA, UK, UAE na China sasa
Hapa nikiagiza. Gharama za kodi huwa zikoje?
Shukran Mwalimu. Ngoja nifuatilie online market nione bei zao zimekaaje.
- Laptop haina kodi
- Utapigiwa hesabu ya VAT tu, kulingana na invoice value ya bidhaa husika.
Nitafutie Laptop ambayo ni very Durable, yet ina high perfomance, high graphics card na iwe inch 14. Nakupa Task hio!
- Laptop haina kodi
- Utapigiwa hesabu ya VAT tu, kulingana na invoice value ya bidhaa husika.
- Chagua kwenye hizi linkNitafutie Laptop ambayo ni very Durable, yet ina high perfomance, high graphics card na iwe inch 14. Nakupa Task hio!
1. https://www.windowscentral.com/best-14-inch-laptop
2. https://www.laptopmag.com/best-picks/best-14-inch-laptops
3. https://www.digitaltrends.com/computing/best-14-inch-laptops/
Naifanyia Kazi Now!- Chagua kwenye hizi link
Nijulishe ni ipi umechagua ili sasa ndio tuitafute na manunuzi yafanyikeCode:1. https://www.windowscentral.com/best-14-inch-laptop 2. https://www.laptopmag.com/best-picks/best-14-inch-laptops 3. https://www.digitaltrends.com/computing/best-14-inch-laptops/
View attachment 2683720
-
View attachment 2683721
Sasa unasema haina kodi halafu utapiguwa hesabu ya VAT! kwa hiyo VAT siyo kodi?
- Laptop haina kodi
- Utapigiwa hesabu ya VAT tu, kulingana na invoice value ya bidhaa husika.
Je inawezekana kuwa kiswahili kina misamiati michache?Sasa unasema haina kodi halafu utapiguwa hesabu ya VAT! kwa hiyo VAT siyo kodi?
Sawa mkuu umesomeka.Je inawezekana kuwa kiswahili kina misamiati michache?
Acha tutumie Lugha ya kigeni
IMP - Import Duty | Imeondolewa kwa PC na vifaa vya PC
VAT - Value Added Tax | Ipo na utalipia
=
Utanielewa zaidi ukisoma neno kwa neno post #4 hapa | Kukatwa kodi kwa mizigo
Ndio utapewa hesabu ya ghalama zingine zilizopo(walizonazo DHL), bila ya kuwepo kwa IMP, sehemu ya IMP wanajaza ZEROSawa mkuu umesomeka.
ukiagiza Laptop kwa DHL , gharama zinakuwa hiyo VAT pekee yake au kuna tozo zingine.
Sawa mkuu. Mfano nimeagiza Laptop ebay $150 na Nimelipia shipping $42 .Ndio utapewa hesabu ya ghalama zingine zilizopo(walizonazo DHL), bila ya kuwepo kwa IMP, sehemu ya IMP wanajaza ZERO