Designer_3434
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 4,929
- 3,985
Hapana mkuu nililichezaga zamani sana bahati mbaya nililifutaga kwenye PC yangu, sasa nimelimiss sana nataka nilicheze tena, nimelitafta sana ila nimelikoswa.Duuh ,mkuu unataka kila ukiwa unashinda uwe unakimbilia bafuni [emoji16][emoji16][emoji16]
Hakuna kinachofata mkuu, bali ni kujifurahisha tu mkuu.Nisaidie kama unalo hili game mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu akishavua nn kinafuata?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina mkuuHakuna kinachofata mkuu, bali ni kujifurahisha tu mkuu.Nisaidie kama unalo hili game mkuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu, nisaidie hata kwa wadau huko unaowajua wanipe hata link.
Sawa mkuu siku nyingine nitabadili.Badala ya kutengeneza au kutafuta gemu za kukupatia /kukutolea pesa we unataka gemu za makahaba.
Vitu km hivi heading zake inabidi zije kwa namna nyingine siyo hiyo ya msaada, watu watapuuzia heading mm hizi kwa kukwepa vitu na mambo km hayo.
Ila samahani sana mkuu km nimekukwaza
LinaitwajeSawa mkuu, nisaidie hata kwa wadau huko unaowajua wanipe hata link.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lake silikumbuki mkuu, ila ni game la draft la mwanamke, na ndo maana niko hapa kusaidiwa ili nilipate.
Ok, nimelikumbuka ngoja nikutafutieJina lake silikumbuki mkuu, ila ni game la draft la mwanamke, na ndo maana niko hapa kusaidiwa ili nilipate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa nitashukuru sana mkuu,
Angalia post #15 limeshawekwaNdiyo mkuu
Mwanza!!
enjoy
wa pili je ?Hili gem madem wote wanavua? Au huyo wa kwanza tu?
Maana huyo wa kwanza hua ni kibonde kumvua ni rahis [emoji851]
Sent from my iPhone using JamiiForums