ahsante kwa info na MAJUNGU JUU mkuu
Secret Service ..kama umeangalia vizuri, nlishaijibu hiyo post tayari ..kukawa na negative response tena kuna mdau (hammy d) alishadoubt uoriginal wake.... Hata hivyo 380 PRICE TAG NI PAKUBWA MNO kwa gb16 (300-350)...
NB:kumbuka kuna PM kiongozi..kuna wadau tunayajenga kule...be blessed