Hii ni hali ya kawaida kutokea kwenye ndoa, ila ukijiendekeza ukashindwa kusimama kwenye nafasi yako kumlimda mkeo na watoto wako ukaamua kumpigania huyo x akawa wako huku wanao uwaoni tena na mama yao humuoni tena amemove on bila wewe na ww upo na tapishi lako ndo utajua kuwa wewe ni UGORO.