Natafuta fundi welding

Natafuta fundi welding

Ze burner

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
514
Reaction score
83
Nilikua na kijiwe somewhere, ila nimehama maeneo hayo na kuja dsm na nnampango wa kufungua tena kijiwe hicho! Mwenye uwezo anaweza ku ni pm.
Awe ni mkazi wa dsm, akiwa tmk itapendeza.
 
Mkuu unahitaji Fundi wa kukufanyia kazi kwenye hicho Kijiwe, ama unahitaji Fundi then mfanye kazi kwa pamoja? Na Malipo yake yatakuwaje?
 
Nahitaji fundi wa kuiendesha ofisi,
 
Nilikua na kijiwe somewhere, ila nimehama maeneo hayo na kuja dsm na nnampango wa kufungua tena kijiwe hicho! Mwenye uwezo anaweza ku ni pm.
Awe ni mkazi wa dsm, akiwa tmk itapendeza.
Ulifanikiwa kupata fundi mkuu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom