Natafuta fundi wa UHAKIKA wa computer (Hardware)

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,578
Reaction score
1,817
Na computer mbili(desktop) moja ina waka na kuzima muda huo huo na saa nyingine haiwaki kabisa ukiachana kwa muda inawaka ikiaribia ku boot inazima, ukirudia tena ndio haiwaki, ya pili ina zinguka fern kwa nguvu saaanaaa(ila haiwaki.

Nimepeleka kwa mufundi wa machinga complex pale, na bahadhi wa kariakoo ila nimegundua mafundi wengi wako "shallow" fundi anatarajia kila computer tatizo ni RAM, Processor au POWER SUPPLY akibadilisha hakiona haija tengamaa anasema hawezi au anasema inahitaji muda ukimpa muda story zile zile.
Nadhani hapa naweza pata mafundi wazuri wa computer electronics.

Tuwasiliane 0715812160
 
Tupa kule nunua mpya,ujenge uchumi wa wachina!
 
Back
Top Bottom