Natafuta fundi wa sofa aina ya Chesterfield

Natafuta fundi wa sofa aina ya Chesterfield

KyelaBoy

JF-Expert Member
Joined
Nov 9, 2008
Posts
206
Reaction score
22
Kama kuna mtu yoyote ambaye ni fundi wa makochi mzuri au anamjua fundi couch mzuri ,makochi yangu yanahitaji repair ni Chesterfield leather couch,leather isha anza kukatika,kwa hiyo nahitaji kubadilishiwa leather iliyochakaa na kuwekwa leather mpya,pia mito yake ambayo ni fibre,kuna couch 1 la watu 3,1 la watu 2 na 2 ya mtu mmoja mmoja.
Naambatanisha aina ya hizo couch,hapa zikiwa mpya.ni PM
 

Attachments

  • classic-3-seat-chesterfield-sofa.jpg
    classic-3-seat-chesterfield-sofa.jpg
    29.4 KB · Views: 288
Back
Top Bottom