Asante sana bro jana nilienda hapo wajaicheki simu yangu na wakaniambia itachukua wiki 3 kutengenezwa,hata hivyo mtu mmoja akanishauri niipeleke sapna ambapo ilitengenezwa ndani ya saa moja na imepona naitumia,wadau wote mliochangia kwenye uzi huu,asanteni sana