fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,606
- 8,269
Nataka kubadili kioo cha simu yangu ya samsung note 20 ultra, mwenye kumfahamu anijulishe
Nakaziahiyo bei sasa
Asante sana broNakazia
Nenda J Mall Wapo Pale Samsung Service Centre 0746490000
Asante sana bro jana nilienda hapo wajaicheki simu yangu na wakaniambia itachukua wiki 3 kutengenezwa,hata hivyo mtu mmoja akanishauri niipeleke sapna ambapo ilitengenezwa ndani ya saa moja na imepona naitumia,wadau wote mliochangia kwenye uzi huu,asanteni sanaAsante sana bro