HELLO!
ni matumaini yangu mmekuwa na wakati mzuri wajumbe wa jf,ni bahati mbaya simu yangu imejilock hivyo basi natafuta fundi atayekua wa msaada katika eneo hilo,ninaishi Dar es salaam,hivyo popote Dar es salaam nitamtafuta.simu ni sony xperia!
ninatanguliza shukrani!