Y yusuph hasheem Member Joined Jul 5, 2017 Posts 57 Reaction score 52 Jul 8, 2017 #1 Wakuu nina incubator ya china mayai 96..haiwaki iliwaka mwezi mmoja tu na mwezi mwingine ikazima na mayai yakaharibika ..sasa naitaji mtaalamu fundi wa incubator wa songea ..au yeyote anielekeze nin nifanye ..mim nipo songea ..wakuu msaada tafadhali
Wakuu nina incubator ya china mayai 96..haiwaki iliwaka mwezi mmoja tu na mwezi mwingine ikazima na mayai yakaharibika ..sasa naitaji mtaalamu fundi wa incubator wa songea ..au yeyote anielekeze nin nifanye ..mim nipo songea ..wakuu msaada tafadhali
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Jul 8, 2017 #2 Pole sana.... Naamini JF ni mkusanyiko wa kila kitu ... Utapata msaada.
B BOSCO OJA JF-Expert Member Joined Oct 22, 2011 Posts 342 Reaction score 229 Jul 8, 2017 #3 Watakuja wataalam hapa. Jaribu pia kuwasiliana na wataalam wa KILIMO/MIFUGO wa Songea DC na MANISPAA hapo
Watakuja wataalam hapa. Jaribu pia kuwasiliana na wataalam wa KILIMO/MIFUGO wa Songea DC na MANISPAA hapo