asante kwa ushauri mkuumkuu kwaupande wa hizo tv nakushauri jaribu kwenda kwa wale dealer wasony wanaweza kukuunganisha na mafundi wao maana sony ni kitu kingine
sony sifahamu walipo ila natumai watakwepoasante kwa ushauri mkuu
wanapatikana maeneo gani kwa hapa dar?