P....vu zako usituletee ujinga wako kama vipi peleka Facebook............Habari zenyu wanajamvi.ebwana natafuta fundi wa chaga za kitanda changu zilizovunjika jana wakati mimi na mama nginaa tukisheherekea sikukuu ya wapendanao,yeyote anayemfahamu fundi anijuze kwa PM miye niko mbags charambe.
MAPROSOO.
P....vu zako usituletee ujinga wako kama vipi peleka Facebook............
Njaa kaali mipombe kama kazi
Kula hali kutembea kipindi cha jua kali
Hii haipendezi kwa mtu mwenye akili naujasili
Bhange ni bangue
Ukichelewa kuingia chooni utakuta kanya kayajaza
Njaa kaali mipombe kama kazi
Kula hali kutembea kipindi cha jua kali
Hii haipendezi kwa mtu mwenye akili naujasili
Bhange ni bangue
Ukichelewa kuingia chooni utakuta kanya kayajaza
Utabaki mdomo juu juu katu usijue la kufanya..........(vp niongeze verse nyingine?)
minywele tumtum na kwenye sherehe natia timu
unasugulia viatu brash la kuoshea vyombo....?
wasahili wanasema ukiwa mkubwa dawa,sasa mbona kijana mwenzetu ume....
Mjinga mkubwa wewe jitu zima unakuja na mada za kipumbavupumbavu...Nyie ndiyo mnao shusha hadhi ya JFKama huna cha kuandika kaa kimya,unakaa nyagwa nini?
MAPROSOO.
Jionee huruma wewe na familia yako...yaani wewe unamtukana popobawa!?. nakuonea huruma. pole sana.
Utabaki mdomo juu juu katu usijue la kufanya..........(vp niongeze verse nyingine?)
anabahati shughuli zote za upopo nimezikabidhi kwa nitonye.
MAPROSOO.