Wana Jf kwa anayefahamu fundi mzuri wa simu za i phone naomba anijuze. Awe hapa zanzibar au dar es salaam. Its urgent kamtambo kamezimika sipo hewani.
Au kama mtanisaidia kupata uzi mmoja uliwekwa humu wa mtaalam wa simu, nimeutafuta sijaupata sijui umefutwa au vipi..?