Natafuta Fundi Mzuri wa Blackberry | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Natafuta Fundi Mzuri wa Blackberry

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Ozzie, Dec 31, 2011.

 1. Ozzie

  Ozzie JF-Expert Member

  #1
  Dec 31, 2011
  Joined: Oct 9, 2007
  Messages: 3,234
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  Natafuta fundi mzuri sana anayeweza kunitengenezea Blackberry Bold 9930. Nimenunua mpya kabisa kama wiki mbili zilizopita, pasipo guarantee. Nilikuwa nimetoka ku snyc phonebook zangu kwenye Macbook usiku wa hivi karibuni. Nikafanya kosa la kuto eject ipasavyo (sijui kama ndio chanzo). Baada ya hapo iliendelea kufanya kazi ila nilipoamka asubuhi ikawa haiwaki tena zaidi ya ile red LED. Nimeipeleka kwa Mwesiga pale posta opposite na IPS Building Azikiwe/Samora Avenue lakini imewatoa knock out. Kabla sijaituma nataka nimpate guru wa BB bongo. Msaada tafadhali!!!
   
 2. TIQO

  TIQO JF-Expert Member

  #2
  Dec 31, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 13,832
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 0
  Itakuwa ya mchina hiyo itupe tu utaingia ghalama za bure alafu isipone
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 31, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Try WIRELESS CONCEPT
  Mosque streets you are heading towards Jambo Inn near By Home Direct Appliances
  Ask for Mr Munna
  +255 754 233355
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Dec 31, 2011
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 842
  Trophy Points: 280
  inaweza kuwa made from china lkn wako authorized na bb na kwa kutengeneza device za standard moja worldwide. Lkn siyo zile za kkoo za elfu hamsini ..zile hata hiyo syncronize huwezi fanya na huyu mfungua mada sidhani kama angeweza hata kujaribu kufanya hilo zoezi. Kiufupi hata sony ericsson ipo na tatizo hili
   
 5. bg_dg_dy

  bg_dg_dy JF-Expert Member

  #5
  Dec 31, 2011
  Joined: Feb 27, 2009
  Messages: 444
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 60
  Check with deo cellphonist; yeye ashatengeneza issues km hizo 5 ikiwemo zangu mbili zikapona kabisa same problem red LED light blinking muda wote na ukiingiza usb cable haisomi kwenye pc. Ukipita stand ya makumbusho/chaga bite ukitokea posta ambaa baada ya jengo jipya la Derm na woodwork kata kushoto nenda moja kwa moja unakutana na kijibarabara then kata tena kushoto ulizia kwenye mduka yaliyopo hapo mkono wako wa kushoto ulipokatia ask for Deo
   
 6. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #6
  Dec 31, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Simu za bei hizi bamiza kichwa sana hapo bado hujapigwa loba ya mbao au hujasachiwa na wajanja wa mujini
   
 7. ng'wanankamba

  ng'wanankamba JF-Expert Member

  #7
  Jan 1, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 340
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Mm nina BB Storm ina tatizo hilo. Nimepeleka kwa Sele pale Samora ikamshinda, kwa Mwesiga akachemka, nikaenda kwa Baker pale Hadees fast food nao wakachemka. Nimeitupa ndani tu.
   
 8. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #8
  Jan 1, 2012
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,103
  Likes Received: 22,144
  Trophy Points: 280
  Unaweza itengeneza mwenyewe, jaribu hizi solutions:

  The good news, starting from scratch, you will be back in service in a couple of hours. [​IMG]

  1. ...

  2. You need to install a BlackBerry OS file that is specific to your device. The original version, as supplied by the carrier, is the safe choice, but you can use any model specific version. This is not supplied on your BlackBerry CD, Ref: 3 links to BlackBerry's download pages.

  3. Once the OS has been installed, you have to prepare it for the device.

  Select Start / Computer and select the Drive C: Icon.

  Open Program Files / Common Files / Research in Motion / AppLoader.

  Navigate to the bottom and delete the file Vendor.XML file.

  4. You are now ready to restore your device. Verify that BlackBerry Desktop Manager is NOT running. Plug the device directly into the computer's USB port.

  We are about to venture into the bowls of the beast. Windows is not suitable for this job, we are going to invoke the Command line interface with an option switch. This was the way all 'puters worked prior to Mcintosh and Windows.

  Windows XP: Start / Run... / Command

  Windows Vista: Start / Command (type this into 'start search')

  Source:
  http://forums.crackberry.com/forum-f3/how-do-i-recover-dead-blackberry-32322/
   
 9. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #9
  Jan 1, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  M pm Dr phone wa hapa hapa JF, yuko vizuri nae kwenye BB maana hata mimi aliwahi kunirekebishia ya kwangu.
   
 10. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  hi mkuu alinicheki nimeshamtatulia mkuu ajarudisha mjeresho (feedback)
   
 11. drphone

  drphone JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Sep 29, 2009
  Messages: 3,563
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  mkuu toa feedback basi jamvini
   
 12. sirleondavid

  sirleondavid JF-Expert Member

  #12
  Oct 28, 2012
  Joined: Sep 30, 2012
  Messages: 380
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ukishindwa kabisa dont harm your gadget check hapa .::Kariakoo::. au piga simu 0715353108
   
Loading...