Nenda mtaa wa shauri moyo kkoo karibu na TRA uliza kwa Makofia faster utampata tatizo lako litakwishaHabari wadau naomba msaada wa mawasiliano wa fundi mzuri wa AC za magari
Thanks brotherNenda mtaa wa shauri moyo kkoo karibu na TRA uliza kwa Makofia faster utampata tatizo lako litakwisha
Thanks brotherYupo Mwingine Hapo Sinza karibu na Lion hotel (Descol Refrigeration and Air condition) wako vizuri sana 0715 414161
hutojutia kufanya nao ka
OK,endapo kuna MTU anahitaji Fundi wa AC za majumbani mcheck huyu jamaa 0713230547Habari wadau naomba msaada wa mawasiliano wa fundi mzuri wa AC za magari
Huyu Makofia wa Ilala sababu ana jina kubwa sana basi bei yake ni kubwa sana, wako wengine wa mtaani bei nzuri tuNenda mtaa wa shauri moyo kkoo karibu na TRA uliza kwa Makofia faster utampata tatizo lako litakwisha
Ninaku-PM namba zake mkuu!Huyu yupo vizuri sana na ana bei nzuri pia.Utanipa mrejesho.
Mkuu ulifanikiwa ku solve hili tatizo?maana nina face the same pbmni PM namba zake mimi pia nataka nifanye matengenezo ya AC ya gari yangu. Nikiwasha ina blow upepo tuu na kuongeza vumbi na joto ndani ya gari. Hakuna ubaridi ata nikiweka coldest.
Mdau msaada wa odd 50Mkuu ulifanikiwa ku solve hili tatizo?maana nina face the same pbm