Mwezi wa tisa napata likizo ya siku 50 .Napenda kutumia likizo hiyo kujifunza ufundi wa matatizo ya kawaida ya computer .Fundi yoyote aliye Dar es salaam na anawiwa kunisaidia kwa namna tutakayo kubaliana .Naomba ani pm mawasiliano yake. Asante
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.