Natafuta fundi anayejua kushona nguo

Natafuta fundi anayejua kushona nguo

kiiii___

Member
Joined
Nov 28, 2021
Posts
10
Reaction score
27
Hello! Natafuta fundi snayejua kushona nguo za kike, mishono ya kisasa nimpe tenda na kama nitapenda kazi zake nifanye naye kazi. kama unafahamu naomba namba zake nitamtafuta asanteni, location Dar es salam
 
Upo wapi? Kama dar mcheki huyu rafiki yangu
Screenshot_2022-01-29-13-20-53-86.jpg
 
Unataka akushonee nguo au unataka kumpa kazi kwenye Kampuni yako?.

Fafanua ili wenye Kampuni zao tayari wasihangaike kukutafuta.
 
Unataka akushonee nguo au unataka kumpa kazi kwenye Kampuni yako?.

Fafanua ili wenye Kampuni zao tayari wasihangaike kukutafuta.

Kama anakampuni yake hatofaa, nataka anifanyie kazi mimi nikipenda kazi zake
 
Hello! Natafuta fundi snayejua kushona nguo za kike, mishono ya kisasa nimpe tenda na kama nitapenda kazi zake nifanye naye kazi. kama unafahamu naomba namba zake nitamtafuta asanteni, location Dar es salam
Ndugu habari.. !!
Natafuta mtu anayefanya biashara ya uuzaji wa nguo za kiume mtumba mikoani...
Nina bidhaa za nguo za 👖 jeans suruali, t-shirt ,na pia trak juu na chini.. (GRADE A) bei nafuu tu nipo maeneo ya Tabata segerea
Mawasiliano 0744644627
0622531099
Hata pia kwa ulieko Dar Es salaam ni vizuri zaidi, jipatie bidhaa kwa bei poa ya jumla..
Nataka nibadilishe biashara, so mzigo upo store bei poa kabisa usiwe na shaka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom