Nilikua nimejipanga tuanze na agenda ya Kilimo kwanza. Btw uliponijibu my first comment , nimekustukia wewe ni nani.
Inshort through my uzoefu hapa cc haikunipa ugumu kukutambua.
Multiple Id's sijui zitaisha lini hapa.
Nime withdraw my intetion! Endelea kutafuta wengine.