Natafuta Friend wa kike wa kuchat nae

Hivi mwanaume hawezi kuchat na mwanaume mwenzie? Inakuwaje wanawake tunaweza kuchat wenyewe?
 
Sema kweli nini unataka kwa msichana atakuelezea kuhusu makeup,udi, rangi za kucha ebu ongea na mwanamme mwenzio akupe mawili matatu ya dunia eeeeee umesikia dadiii! usiwe na tabia mbaya eeeeeeeee sawa!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom