Natafuta fremu ya biashara Kigamboni

Natafuta fremu ya biashara Kigamboni

Dashy 99

Member
Joined
Dec 19, 2012
Posts
23
Reaction score
9
Habari zenu wana jamii.
Natafuta fremu ya kufanyia biashara maeneo ya kigamboni mjimwema,geza au ungindoni kwa yeyote mwenye taharifa kuhusu fremu za biashara maeneo hayo au karibu na maeneo hayo kwa kigamboni.ianzie laki kushuka chini wakuu tusaidiane kwa hili.ani INBOX
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom