Natafuta fremu ndogo

Natafuta fremu ndogo

ajira ngumu

Member
Joined
Dec 21, 2014
Posts
64
Reaction score
4
Natafuta flem ndogo au sehemu yenye banda kwa ajili ya m.mpesa na tgo pesa!iwe nzur kwa biashara tajwaa!
 
kujieleza tatizo kumbe mm sehemu ipo burundi

biashara haina mipaka !inategemea unafungua kitu gn kma burund kuna hyo mitandao ok fyne!!kama xikuweka mipaka manake popote ambapo huduma nayotaka kuiweka kutakuwa na market.
 
Back
Top Bottom