Natafuta Fremu Arusha

Natafuta Fremu Arusha

Ghost

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2010
Posts
428
Reaction score
53
Wanajamvi naombeni msaada....natafuta fremu Arusha maeneo ya Sanawari, Sakina, Kaloleni au sehemu yeyote ambao nitaona inanifa na iwe karibu na barabara... Kuna kamradi nataka kuanzisha.
Natanguliza shukrani:mwaaah:
 
eleza aina ya mradi tukuambie frem mahala pazuri
 
wife anataka kufungua take away mkuu...
 
Back
Top Bottom