Natafuta frem ya duka Mwanza mjini

Natafuta frem ya duka Mwanza mjini

IMMA1

Member
Joined
May 16, 2017
Posts
61
Reaction score
47
Kama kichwa kinavoeleza,

Nahitaji frem ya duka mitaa ya Lumumba, Rwagasore soko kuu nje upande wa Tanganyika bus mwenye kujua chochote anisaidie.
 
Kama kichwa kinavoeleza nahitaji frem ya duka mitaa ya Lumumba,Rwagasore soko kuu nje upande wa tanganyika bus mwenye kujua chochote anisaidie.

Mkuu rwagasore frem ipo tena katikati ya mtaa huo frem zipo mbili ambazo zimeunganq..sasa hapo ni maamuzi yako kama utayahitaji yote au moja
Kama upo sirias ni PM
 
Back
Top Bottom