Natafuta frem/ kibanda cha chips

Natafuta frem/ kibanda cha chips

Joined
Apr 4, 2019
Posts
81
Reaction score
90
Salaam kama kichwa cha habari kinavyojieleza natafuta frem au kibanda ninachoweza kuanzisha biashara ya chips. Mahali pa biashara ni dar napendelea zaidi maeneo ya mbagala
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom