Natafuta Freezer

Natafuta Freezer

Googler

Member
Joined
May 8, 2016
Posts
24
Reaction score
21
Habari wadau

Nahtaji freezer mpya/used kati ya lita 200 - 300. Niko dsm. Mwenye nayo ani pm
 
Mie ninayo ipo dsm used kwa mwaka mmoja nilinunua mpya...kubwa na ya kisasa sema sijachunguza lita ngapi ila ni kubwa....bei maelewano. Nilinunua laki 8 calculate deprecation value kisha nipe bei yako.
 
kama hujui ni lita ngapi itakua ishu mkuu. Lita na aina ya friza ni muhimu kupata depreciation value vizuri
 
Njoo nikuuzie.
Aina ya freezer: ifreezer
Kampuni: apple
Lita: 600
Ilipotengenezwa: marekani
Bei: millioni 2.
Rangi: nyeusi.
Ni ya touch na ni nzuri nitafute.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom