Natafuta frame

nyamata07

Member
Jun 7, 2016
59
16
Habar zenu, natafuta frame maeneo yawe sinza, tabata au mwenge,, ambayo ni inagharama kati ya 50000 mpka 70000 kwa mwezi,,
 
Mkuu hongera kwa wazo la kutaka kuongeza chanzo cha kujitafutia kipato cha ziada.

Mimi kwa maeneo hayo uliyotaja sina. Ila kama uko flexible kuchukua hata iliyoko maeneo mengine kulingana na aina ya biashara unayotaka kufanya then unaweza kunistua. Ninazo maeneo ya Mbezi Kwamsuguri. Kila la kheri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom