Natafuta Frame ya Duka / Warehouse Dar

Natafuta Frame ya Duka / Warehouse Dar

Kagalala

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2010
Posts
2,403
Reaction score
1,134
Wadau
Natafuta sehemu ya Duka / Warehouse Dar katika maeneo ya Magomeni, Kinondoni mpaka Mwenye, Sinza mpaka Ubungo. Ukubwa wa sehemu huwe katika mita za mraba 70 na sehemu iwe inaweza kufikiwa na Lorry kubwa kama limebeba 40ft container. Ninapendelea sehemu iwe barabarani au karibu na barabara inayoingilika na Lorry. Kama inapatikana naomba mtu anitumie private message (PM).
 
Back
Top Bottom